n 1 wajumbe, wawakilishi. 2 agizo, ujumbe. deputevt kaimisha, naibisha, toa kazi/madaraka n.k. kwa mtu mwingine ili awakilishe; weka naibu/makamu/kaimu. deputizevi(for) kaimu, fanya badala ya mtu mwingine, -wa naibu. deputyn 1 kaimu; naibu; makamu she will be my deputy when I am away atakuwa kaimu wangu wakati sipo deputy minister naibu waziri. 2 (in some countries eg. France) mbunge.