depth

n 1 kina: urefu wa kwenda chini, uketo. in ~ adj,adv barabara, kwa kina; -a kuzamia. be/get out of one's ~ -wa katika maji marefu kuliko urefu wako; (fig) fanya jambo linalokuzidi kipimo/uwezo wa kuelewa. 2 usomi/mawazo/maono yaliyobobea/topea. 3 the ~ (s) n kina, lindi, ndani kabisa ~s of ignorance lindi la ujinga ~ of night usiku wa manane ~s of the sea vilindi in the ~ of my heart moyoni kabisa in the ~of the country shambani kabisa. ~ charge n (mil.) bomu la majini. ~-gauge n pima kina.