depress

vt 1 (lower) inamisha; sukuma/vuta chini, kandamiza, bonyeza. 2 (make dejected) huzunisha, sikitisha, fadhaisha. 3 punguza nguvu, dhoofisha. 4 shusha (bei, mishahara n.k.). depressed adj -enye huzuni. ~ed classes n tabaka za chini (za watu wanaokandamizwa). depressive adj. depressing adj -a kufadhaisha/ kuvunja moyo. depression n 1 huzuni; (psych) majonzi; mfadhaiko. 2 bonde; mwinamo, mbonyeo. 3 mdororo wa shughuli za uchumi, mdodo. 4 upunguaji wa kanieneo ya angahewa. deprive vt ~ (of) nyima, nyang'anya, poka. deprivation n. ~d adj.