deposit

vt 1 weka ~ the papers on the table weka karatasi mezani ~ money in a bank weka fedha benki. 2 (of a river) acha mashapo/tope the river ~s mud on the fields mto huacha matope katika mashamba. 3 lipa sehemu ya fedha kama amana/ rubuni, weka amana/rubuni. n 1 amana; uwekaji amana ~ account hesabu ya amana. ~ slip n stakabadhi ya amana. 2 arbuni he put a ~ on the car aliliwekea gari arbuni. 3 (sediment) mashapo. 4 (of drink) machicha. depositor n fig hazina. depository n (store) depo, ghala, bohari.