deport

deport

1 vt fukuza nchini (mtu asiyetakiwa). deportation n. deportee n.

deport

2 vt ~ (oneself) -wa na tabia/ mwenendo (wa namna fulani maalum) ~ oneself with dignity -wa na adabu, jiheshimu, jichunga, jistahi. deportment n mwenendo; mwendo.