depart

vi 1 ~ (from) uka, ondoka, enda. 2 (die) fariki dunia, -fa, shikwa na faradhi ~ this life fariki dunia. 3 (deviate from) acha, kengeuka ~ from old customs acha desturi za zamani ~ from truth sema uongo. the ~ed n marehemu (aliyefariki hivi punde). departure n 1 kuondoka, kwenda take one's ~ure ondoka. ~ure platform n mahali pa kuondokea. 2 kuacha, kubadilika, mkengeuko ~ ure from a law ukengeukaji sheria. a new ~ure n jambo jipya, a new ~ure in mathematics mwelekeo/mtazamo mpya katika hesabu. 3 (death) kifo.