denouement

n 1 sehemu ya mwisho ya hadithi/mchezo baada ya kilele (ambapo mambo yanawekwa wazi). 2 sehemu ya mwisho ya shani; mfululizo baada ya kilele.