denote

vt 1 maanisha; onya; onyesha, -wa ishara ya. 2 -wa dalili ya, -wa ishara ya maana fulani. 3 -wa jina la. denotation n 1 maana halisi ya neno. 2 jina. denotative adj.