denationalize

vt 1 ondoa utaifa. 2 rudisha kwa watu binafsi kilichotaifishwa. denationalization n. denaturalize vt 1 geuza desturi za asili. 2 ondoa haki ya mtu kuwa na taifa (au nchi) fulani, nyima uraia. denaturalization n