den

n 1 tundu (la mnyama wa mwitu); kitundu, pango. 2 majificho/makutano ya waovu, (wevi n.k.). 3 chumba cha faragha cha kazi.