demurrage

n 1 fidia ya kuchelewa. 2 faini ya kuchelewesha kukomboa mizigo; haka ya meli (kwa kuchelewa gatini).