demur

vt ~ (to/at) kinza, bisha; kataakataa; sita; onea shaka n makinzano, kani, ubishi, kusita obey without ~ tii bila kusita make no ~ usisite, usikaidi, usibishe.