demonstrate

vt, vi 1 fafanua kwa kutoa sababu dhahiri (mifano); thibitisha. 2 onyesha wazi, dhihirisha; (manoeuvre) onyesha mbinu (katika jeshi). 3 andamana. demonstrator n. demonstrable adj -a kuthibitishika, -a kudhihirika it is demonstrable that inathibitishika kwamba. demonstration n 1 (proof) uthibitisho, ushahidi; mafafanuzi. 2 (certainty) uthabiti, hakika. 3 (show) maonyesho. 4 (also demo) maandamano. demonstrative adj 1 -a kuonyesha wazi, -a kuashiria (maono, upendo, furaha, chuki, n.k.). 2 -a kuainisha. 3 (gram) kionyeshi. demonstrative pronoun n kiwakilishi kionyeshi. demonstratively adv. demonstrativeness n.