demon

n 1 pepo mbaya; jini mbaya; shetani. 2 mtu katili/mwovu/ mharibifu/mwangamizi; (colloq) -enye juhudi, shababu ~ for work hodari wa kazi. demonic adj. demonism n. demonology n. demoniac adj 1 -enye pepo mbaya. 2 -a shetani. 3 katili, -ovu sana. demoniacal adj. ~ iacally adv.