demography

n demografia: taaluma ya takwimu ya kima cha uzazi, vifo, maradhi n.k. kuonyesha hali ya jamii fulani.