demilitarize

vt ondoa majeshi; kataza mambo ya kivita/ kijeshi. ~d zone n ukanda usio na majeshi, ukanda uliokatazwa mambo ya kivita/ kijeshi.