demarcate

vt 1 aua, weka mpaka/mipaka. 2 tenga. demarcation n 1 kuaua, kuweka mpaka/mipaka. 2 mpaka/mipaka; mwauo line of demarcation mpaka. 3 mtengano.