delirious

adj zezeta, -a kupagawa, -enye kupayuka- payuka/kuweweseka kwa ugonjwa au ulevi, -a kupayuka; -a kuchachawa be ~ with joy jawa na furaha, pagawa kwa furaha. delirium n mapayo, weweseko; wazimu, mazezeta. ~ tremens n mapayo ya ulevi.