vt,vi 1 pendeza sana; anisi, furahisha sana; teremesha. 2 ~ed with furahishwa, pendezwa na. 3 (take) ~ in furahia she ~s in criticizing people anafurahia kukosoa watu n 1 furaha; nderemo give ~ to somebody furahisha. 2 kitu kiletacho furaha javelinis my chief~ kutupa mkuki kunanifurahisha. delightfuladj. delightedlyadv. delightfullyadv.