delegate

n mjumbe, mwakilishi vt 1 wakilisha. 2 tuma; agiza ~ authority naibisha mamlaka ~ to wekea; agizia. delegation n 1 ujumbe. 2 uwakilishi, uwakilishaji lead a delegation ongoza ujumbe. delegacy ujumbe, uwakilishi.