deject

vt huzunisha, vunja moyo, tia majonzi. dejected adj -enye huzuni. dejectedly adv. dejection n huzuni, majonzi, moyo mzito. he left in ~ion aliondoka na huzuni kubwa.