deism

n (rel) imani ya uungu bila kukubali ufunuo wala mizengwe yake. deist n muumini asiyekubali ufunuo. deity n 1 uungu, umungu. 2 mungu. the D~ n Mwenyezi Mungu.