deify

fanya mungu; abudu au heshimu kama mungu. deification n kufanya (kitu au mtu) Mungu, kuabudu au kuheshimu (kitu au mtu) kama Mungu.