deflate

vt 1 (of tyre) toa upepo. 2 (fig) punguza majivuno. 3 punguza jumla ya fedha zitumiwazo ili kudhibiti bei. deflation n. deflationary adj.