defer

defer

1 vt~ ahirisha payment on ~red terms kulipia kidogo-kidogo, kununua kwa kubandika. deferment n.

defer

2 vi ~ (to) kubali kushindwa (hasa kwa sababu ya kuonyesha heshima); ridhi kwa kustahi, stahi. deference n kukubali kushindwa (kwa kuonyesha heshima); ridhaa (ya kustahi); staha. in ~ence to kwa staha; kwa kustahi. deferential adj -enye kuonyesha staha. deferentially adv.