defect

defect

1 n dosari; kasoro; walakini; upungufu. inherent ~ n dosari ya kimaumbile. latent ~ n dosari iliyofumbika. patent ~dosari dhahiri. defective adj -enye kasoro/ upungufu. mentally ~ive adj -enye upungufu wa akili.

defect

2 vi defect (from/to) asi; saliti. defector n mwasi; msaliti. defection n uasi; usaliti.