defeat

vt 1 shinda, zidi nguvu, vota. 2 vunja, angamiza n 1 ushinde; kushindwa. 2 maangamizo. defeatist n mtu anayetegemea kushindwa tu. defeatism n hali ya kutazamia kushindwa tu.