deer

n mbawala, paa, kulungu. ~ skin n ngozi ya mbawala iliyohifadhiwa. ~ stalker n mwindaji wa mbawala; kofia ya kitambaa yenye mikia miwili (mmoja mbele mwingine nyuma). ~ stalking n mchezo wa kuwinda mbawala kwa kuwanyemelea.