deep
adj 1 -a kwenda chini, -enye kina, -enye uketo. ~ water n kina, lindi ten feet ~ in water kina cha futi 10 majini ~ river mto wenye uketo. in ~ water(s) (fig) -wa na matatizo makubwa. 2 -liowekwa ndani sana; -liokuwa nyuma sana; -a ndani. 3 -pana. 4 -sana, kabisa ~ red -ekundu sana ~ secret siri sana. (be) ~ in thoughts (study etc.) zama katika mawazo, -wa mbali kimawazo. 5 (of voice) -zito, nene, -a chini. 6 (of feeling etc.) -ingi; -zito; -kuu, kubwa ~ sorrow majonzi makuu ~ mourning huzuni kubwa ~ sleep usingizi mzito. 7 (fig) -gumu kueleweka a ~ mystery fumbo kubwa. 8 (fig) -enye kuzama, -siyo ya juujuu a woman with ~insight mwanamke mwenye mawazo yaliyozama. 9 siri. he is a ~ one msiri. deeply adv. deepness n. deepen vt,vi 1 enda chini; -wa na kina; ongeza uketo. 2 zidisha adv chini sana; ndani. still waters run ~ (prov) kimya kingi kina mshindo. ~ freeze vt gandisha chakula n.k. ili kuhifadhi. ~ freezer n jokofu gandishi. ~ mined adj (of coal) -a kutoka machimboni. ~ drawn adj pumzi iliyoshushwa kwa nguvu. ~ rooted adj -siyo rahisi kutolewa; enye mizizi imara. ~ seated adj -iliyojijenga, -enye nguvu n (poet) the ~ n bahari.