decumbent

adj -a kulala chini. dedicate vt, vi ~ to 1 weka wakfu, (weka) kwa matumizi mema au kusudi jema (kama vile matumizi ya dini au utukufu wa Mungu); tabaruku, zindua. 2 (devote) toa (weka, funga kabisa) kwa ajili ya kusudi fulani maalumu. 3 andikia ukumbusho au heshima ya mtu (au kusudi maalumu) this book is ~d to my children kitabu hiki ni kwa heshima ya watoto wangu. 4 toa hidaya; tunukia. 5 ~ oneself to jitolea kwa dhati. dedication n. ~d adj.