decrepit

adj -dhaifu (kwa sababu ya uzee au kuchakaa), -kuukuu, -kongwe, -chakavu. decrepitude n ukongwe; udhaifu; uchakavu; mtambariko.