decrease

vt,vi 1 punguza; pungua, punguka, fifia n upunguaji, kupungua. crime is on the ~ uhalifu unapungua.