decor
n nakshi/mapambo, marembo na vitu vyote vinavyokamilisha (sura; mandhari, chumba, jukwaa n.k.). decorate vt 1 pamba, remba, tia nakshi. 2 paka rangi; (with badge or medal) visha/tunuku nishani. ~ate with an order tunukia nishani. decorator n mpaka rangi, mtia nakshi, mpambaji. decoration n 1 pambo; kupamba; urembo; kuremba. 2 (medal) nishani; cheo cha heshima. decorative adj -a kufaa kwa kupamba, -a mapambo, -a urembo. ~ative stitches n mishono ya mapambo, mishono nakshi (urembo); darizi.