declaim

vt 1 sema kwa ukali. ~ against kemea, kengemeka, shambulia kwa maneno. 2 (practise speaking) jifunza usemaji, tongoa (mashairi), tongoa; hubiri. declamation n 1 usemaji; kuhutubia. 2 makelele, ugomvi; hotuba kali. declamatory adj.