decent

adj 1 -a adabu, -a heshima dress nguo ya heshima. 2 -zuri, -a kupendeza; stahifu, -a kufaa; ~ weather hali ya hewa inayofaa ~ meal chakula kizuri; (colloq) -a kupendeka, -a wastani. decently adv kwa adabu, kwa heshima. decency n 1 adabu, heshima; ustahifu; mwenendo mwema have the decency to stahi, onyesha heshima. 2 (pl) the decencies n kanuni za adabu.