debug

vt 1 tafuta na ondoa kasoro, matatizo kwenye kompyuta au mashine. 2 tafuta na ondoa vinasa sauti kwenye kuta, chumba, nyumba n.k.