debit

n mtoe, mdaiwa; hesabu (iliyoandikwa upande wa madeni katika daftari) (kinyume cha mpe). ~ balance n baki katika hesabu ya mtoe enter a sum to the ~ side ingiza fedha upande wa mtoe vt rajisi madeni. ~ somebody with a sum sajili mtu na deni lake. debt n deni be in ~ wiwa, -wa mdeni, daiwa have in one's debits wia. run/get into debt wiwa, pata madeni. bad debt (written off) deni lisiloweza kulipwa. debtor n mdeni, mwiwa; mdaiwa. debtor-creditor relationship n uhusiano wa mwiwa na mwia.