debenture

n 1 stakabadhi ya mkopo, hati ya malipo ya kurejeshewa kodi iliyokatwa kwenye bidhaa zilizotengenezwa/zilizozalishwa au zilizoingizwa nchini. 2 karadha (iliyokopeshwa kwa dhamana ya raslimali). 3 dhamana ya ushirika. ~ bond n karadha ya dhamana ya ushirika. ~ issued at discount karadha yenye turuhani/kipunguzo. ~ issued at premium mikopo yenye ziada. ~ stock n jumla ya mikopo.