debase

vt 1 shusha hadhi, cheo, thamani; vunja bei. ~ currency shusha thamani ya fedha za nchi. debased adj ilioshushwa hadhi, cheo au thamani. debasement n.