n 1 mauti, kifo, ufu. at ~'s door chungulia kaburi. he's working himself to ~ anafanya kazi sana. bore somebody to ~/stiff chosha mtu. sick to ~ of somebody choshwa na mtu. death-bedn kitanda cha mauti on his ~-bed karibia kufa. ~-bed confessionn maungamo ya mwisho. ~ dutiesn ushuru wa mirathi. ~ raten kiwango cha vifo; idadi ya vifo kwa mwaka. 2 kuua/kuawa, kifo. accidental ~n kifo cha ajali. ~ by misadventure kifo cha bahati mbaya. ~ sentencen hukumu ya kifo. die a natural ~ -fa kipinda/kibudu; (of person) -fa kawaida. be in jaws of ~ -wa hatarini, ingia kwenye mdomo wa mamba. be in at/the ~ shuhudia kifo; (fig) shuhudia mwisho wa amali. put somebody to ~ ua. stone somebody to ~ rujumu. ~rolln orodha ya watu waliouawa vitani. ~ trapn mazingira ya kifo; machinjioni. ~ -warrantn hati inayoruhusu kuua mhalifu. 3 be the ~ of sababisha kifo/ajali. catch one's ~(of cold) pata mafua makali. ~ blown pigo la kufa; (fig)that was a ~-blow to my hopes hilo lilikuwa pigo la wisho la matarajio yangu. (of 14th c.)the Black D~n tauni. (a fate) worse than ~ a kutisha mno. 4 (fig) kuharibika, mwisho the ~ of our plans kuharibika kwa mipango yetu. ~ chambern chumba cha waliohukumiwa kifo. ~-capn uyoga wa sumu. ~ -housen; ~'s headn fuvu (la kichwa) lenye mifupa iliyokingama ikiwa ni ishara ya hatari. ~rattlen mkoromo (wa kifo). ~tolln idadi ya watu waliokufa katika ajali. ~ watchn kukesha na mgonjwa aliyekaribia kufa. deathlessadj -a milele, -siyo na mwisho, -siokufa; -a azali/aushi. ~less famen sifa isiyokufa. deathlikeadj kama kifo, kama mauti.