dean
dean
1 n bonde (jembamba lenye kijito na miti).dean
2 n 1 paroko (mkuu wa makasisi wa parokia). 2 (of faculty) mkuu wa kitivo. 3 (of students) mshauri. 4 mkuu wa mabalozi (katika nchi moja). deanery n 1. ofisi/ nyumba ya padre mkuu. 2 parokia zilizo chini ya paroko mmoja.