deal

deal

1 n ubao wa msonobari ~ furniture samani ya msonobari. ~ table n meza ya msonobari.

deal

2 n 1 (portion) sehemu. 2 (quantity) kiasi, kiwango a great ~ of kiasi kikubwa sana, kiwango kikubwa, tele. a good ~ of kiasi fulani, -ingi kidogo that's saying a good ~ inatosha, umesema vya kutosha.

deal

3 vt,vi 1 (of cards etc) gawa/ gawanya. ~ out gawa, gawanya (kwa watu kadhaa) ~ out cards gawa karata (kwa wachezaji). 2 ~ somebody a blow/ ~ a blow at/to somebody piga; (fig) umiza; tafrisha. 3 ~ in something uza the market ~s in assorted goods soko linauza bidhaa za aina mbalimbali; tumia muda katika kufanya jambo do not ~ in gossip usishiriki umbea. 4 ~ with somebody/at a place fanya biashara (na). (treat) ~ with kuwa na muwasala na, lahiki; (of affairs) shughulikia; jihusisha na; (of a book) ongelea, husu. 5 ~ well/badly by somebody tendea/fanyia vyema, vibaya n 1 mgawo. 2 mpango, haki. a new ~ mpango mpya wenye manufaa. a square ~ n haki halali. 3 mapatano (katika biashara), maafikiano. it's a ~ tumekubaliana do a ~with somebody weka/fikia mapatano na. n a raw/rough ~ maonevu. dealing n. dealer n 1 mchuuzi, mfanyibiashara ~er in a commodity muuza bidhaa. 2 mgawa karata.