day

n 1. siku. ~ off n siku ya kupumzika kazi. 2 (time of daylight) mchana, kutwa. 3 wakati, muda all ~ mchana kutwa. ~ by ~ kila siku. the ~ after tomorrow kesho kutwa. the ~ before yesterday juzi. this ~ week siku kama leo baada ya juma moja. ~ after ~; from ~ to ~ siku kwa siku. daily siku hadi siku. ~ in ~ out siku nenda rudi. good ~ (formal) (greeting) hujambo. one of these ~s katika siku za karibuni /usoni. the other ~ juzi juzi. call it a ~ gotoka let's call it a ~ tugotoke. that will be the ~ kamwe siku hiyo haitatokea. not to be one's ~ siku ya ndege mbaya. win/ lose the ~ shinda/shindwa we have won the ~ tumeshinda. better ~s n siku za fanaka. evil ~s n siku za nuksi. fall on evil ~s pitia wakati mgumu; pata mkosi. in our ~s katika enzi yetu. to end one's ~s kufa; kupitisha siku za mwisho za uzeeni. 4 kazi (ya kibarua cha kutwa). work by the ~ kufanya kazi za kibarua. 5 tarehe which ~ of the month is it? ni tarehe ngapi? 6 mwisho, ukomo everything has its ~ kila kitu kina siku yake the theory etc has had its ~ umaarufu wa nadharia umegota. ~-boarder n mwanafunzi (asiyekaa boda lakini hupata chakula cha mchana shuleni). ~-book n 1 shajara: kitabu cha kumbukumbu za kila siku. 2 (comm) kitabu (cha mahudhurio ya kutwa). ~ break n mapambazuko, alfajiri, macheo. ~-care centre n kituo cha chekechea, mahali pa kutunza watoto wadogo mchana. daylight n 1 macheo, mchana; mwangaza wa mchana. in broad ~light mchana; hadharani adj 1 mchana kutwa, kutwa mzima 2 siku nzima adv kwa siku nzima. ~ school n shule ya kutwa. dayspring n (poet) macheo. daytime n mchana in the ~time wakati wa mchana. daywork n 1 kazi ya mchana. 2 kazi ya kutwa, kazi ya siku.