day dawn

n 1 mapambazuko, alfajiri, mawio, macheo; weupe wa alfajiri. 2 (fig) (beginning) mwanzo, asili chimbuko vt,vi 1 pambazuka. 2 (begin) anza. 3 ~ (on/upon somebody) (fig) fahamika polepole. it ~ed upon me nilianza kufahamu, ilinielea. ~ing n 1 kupambazuka, kucha. 2 (on/upon) (fig) kuanza kufahamu/kuelewa.