daub

vt,vi 1 kandika, paka, siriba (ovyoovyo). 2 chora picha zisizo nzuri. 3 tia uchafu, chafua n 1 picha iliyochorwa ovyovyo. 2 msiribo, mkandiko. dauber n mkandikaji, mpakaji rangi, mchoraji asiye na ujuzi.