dart
vi 1 kupuka, (toka, enda) upesi kwa ghafula. ~ in kupukia ndani. ~ out kupukia nje, tokeza kwa ghafula kama ulimi wa nyoka). 2 tupa (piga, vurumisha) kwa ghafla na haraka n 1 kigumba (hasa kitumiwacho katika mchezo wa datsi). 2 mruko, mchupo wa ghafula. darts n mchezo wa datsi. ~s board n (of game) ubao wa datsi.