danger

n 1 hatari, janga, baa. 2 jambo/ kitu kisababishacho hatari. put in ~ hatarisha, tia hatarini he is out of ~ ameanza kupona, amenusurika. 3 alama/rangi ya hatari. the signal is at ~ ishara inaonyesha hatari. ~ point n sehemu ya hatari. ~ zone n eneo la hatari. ~ money n malipofidia: malipo ya ziada yatolewayo kwa ajili ya kazi ya hatari. dangerous adj. ~ ous (to/ for) -a hatari; -enye kudhuru. be on ~ous ground -wa mahali pa hatari. dangerously adv.