dance

vt,vi 1 dansi, cheza ngoma. 2 chachawa; rukaruka the children ~ed for joy watoto walichachawa. 3 (of a child) vinyavinya, chezesha. ~ attendance upon somebody sikiliza na fuata (matakwa ya mtu) kwa makini. ~ to somebody's tune tii. dancer n mcheza ngoma n 1 (series of movements and steps) dansi. lead somebody a (pretty) ~ endesha mtu; -pa mtu matatizo. 2 mkusanyiko wa wacheza dansi. ~ing. adj ~ing-master n mweledi wa kudansi/ mwalimu wa dansi. dancing place n batobato.