dame

n 1 (arch) mwanamke (hasa aliyeolewa). 2 (US sl,) mwanamke. 3 (GB) cheo cha heshima ya juu cha mwanamke. 4 mke au binti wa Lodi. 5 jina (la kitu kinachofananishwa na mwanamke). D~ Nature n Asilia. D~ Fortune n Bahati.