dally

vt,vi 1 ~(with) chezacheza, tongozatongoza, fanya ubembe. 2 ~ with an idea fikiriafikiria. 3 poteza wakati (kwa uvivu, uzembe), chelewa, kawia, faitika. dalliance n utongozaji (wa mzaha/utani).